Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasalimia wana-CCM, alipowasili kwenye
Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kuendesha kikao cha
Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) mjini Dodoma jana.
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akishiriki kucheza wimbo wa hamasa ya
Chama, alipowasili kwenye Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma,
kuendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) mjini Dodoma leo.
Katibu
Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akishauriana jambo na Katibu wa NEC, Itikadi
na Uenezi, Nape Nnauye, ukumbini kabla ya kuanza kikao cha Halmashauri
Kuu ya Taifa ya CCM, mjini Dodoma jana.
Mjumbe
wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Samwel Sitta akimsalimia kwa
unyenyekevu Mjumbe mwenzake, Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya, nje ya
ukumbi, kabla ya kikao cha NEC mjini Dodoma jana.
Mjumbe
wa NEC, Frederick Sumaye akimweleza jambo Mjumbe wa NEC mwenzake
Kingune Ngombale-Mwilu, Katikati ni mjumbe wa NEC na waziri mkuu wa
zamani Edward Lowasa
Baadhi ya wajumbe wa NEC wakiwa ukumbini kwenye kikao cha NEC mjini Dodoma jana
Mjumbe
wa NEC Kingunge Ngombale Mwiru akizungumza jambo na mjumbe wa Cleopa
Msuya ukumbini kwenye kikao cha NEC mjini Dodoma jana.
on Wednesday, September 26, 2012
Post a Comment