Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WANAFUNZI USTAWI SASA WAJUA LUGHA ALAMA


Wanafunzi wa chuo cha Ustawi wa jamii waliohitimu mafunzo ya Lugha za alama za Viziwi wakiwa kwenye picha ya pamoja na mgeni rasmi Kaimu Kamishna wa Ustawi wa Jamii, Jeanne K. Ndyetabura  (aliyekaa mstari wa mbele katikati akiwa na vazi la suti). Jumla ya Wanafunzi 134 walihitimu mafunzo hayo kwa mara ya kwanza tangu chuo hicho kianzishwe hapa nchini. Meza kuu ambapo kutoka kulia ni Dk. Theresia Kaijage (Kamishna mstaafu wa Ustawi wa Jamii), Mlwande Madihi (Mkurugenzi wa Mafunzo wa Chuo cha Ustawi wa Jamii), Abdallah Nyange (Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi na muhitimu wa mafunzo ya lugha za alama), Jeanne K. Ndyetabura (Kaimu Kamishna wa Ustawi wa Jamii), Dk. Naftari Ng’ondi (Mkuu wa Idara ya Ustawi wa Jamii), Lupi Mwaisaka Magwanya (CHAVITA) na Paulo Wadugu (Mwalimu wa alama za lugha)


 
  Meza kuu ambapo kutoka kulia ni Dk. Theresia Kaijage (Kamishna mstaafu wa Ustawi wa Jamii), Mlwande Madihi (Mkurugenzi wa Mafunzo wa Chuo cha Ustawi wa Jamii), Abdallah Nyange (Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi na muhitimu wa mafunzo ya lugha za alama), Jeanne K. Ndyetabura (Kaimu Kamishna wa Ustawi wa Jamii), Dk. Naftari Ng’ondi (Mkuu wa Idara ya Ustawi wa Jamii), Lupi Mwaisaka Magwanya (CHAVITA) na Paulo Wadugu (Mwalimu wa alama za lugha)

 
Mwenyekiti wa wanafunzi waliohitimu, Abdallah Nyange (kushoto) akiwasiliana na Mwalimu wake Paulo Wadugu (kulia) kwa njia YA LUGHA ZA ALAMA.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top