Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WARSHA YA UMUHIMU WA ALAMA KATIKA UTOAJI WA HUDUMA KWA VIZIWI YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM


Mkurugenzi wa Idara ya Habari( MAELEZO)Assah Mwambene  kushoto akifungua Warsha kuhusu umuhimu wa Lugha ya Alama katika Utoaji  huduma  kwa Viziwi kwenye Ukumbi wa World Family of  Radio Maria,Regency Estate mjini Dar es Salaam na kulia ni Mkalimani wa Lugha ya Alama.
(PICHA NA ANNA ITENDA WA MAELEZO)
Mkuu wa wa Idara ya Wanawake Chama Cha Viziwi Tanzania( CHAVITA)Lupi Maswanya Mwaisaka akitoa neno la Shukrani kwa Mgeni  Rasmi Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Ndugu Assah Mwambene wakati wa kufungua Warsha kuhusu Umuhimu wa  Lugha ya Alama katika utoaji  huduma kwa Viziwi kwenye Ukumbi wa World Family of Radio Maria uliopo Regency Estate  mjini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya Washiriki kutoka Vyama na Asasi za Viziwi nchini ,Serikalini na kutoka Mashirika mengine ya kiraia wakimsikiliza Mkurugenzi  wa Idara ya Habari  (MAELEZO )Ndugu Assah Mwambene (hayupo pichani )akifungua Warsha  kuhusu umuhimu wa Lugha ya Alama katika Utoaji huduma kwa Viziwi kwenye Ukumbi  wa World Family of Radio Maria mjini Dar es Salaam .
Baadhi ya washiriki wa Warsha kuhusu Umuhimu wa Lugha ya Alama katika utoaji  huduma kwa Viziwi kwenye picha ya pamoja na mgeni Rasmi Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Ndugu Assah Mwambene  wa sita kushoto (aliyevaa suti) kwenye Ukumbi wa World Family of  Radio Maria ,uliopo  Regency Estate mjini Dar es Salaam

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top