MWANADADA anayejipatia umaarufu
kupitia video za wasanii wa muziki wa kizazi kipya, Agness Masogange, ameuambia
mtandao huu kuwa hatumii mwili wake kama chombo cha kuwakamata wanaume bali
hutoa penzi lake kwa yule anayempenda na ishu zinazozungumzwa mitaani kuwa
anaongoza kwa kuiba wanaume za watu si kweli na wanaodai hivyo hawamtakii
mema.
alizungumza na mtandao mmoja
wakijamii mwanadada huyo juu ya ishu kadhaa zinazongumzwa juu yake, ndipo
alipofunguka kuwa hatumia uzuri wake au umbo lake kama njia ya kuwavuta wanaume
kwani angeamua kufanya hivyo basi angekuwa na wanaume wengi
sana.
“Mwili wangu si chombo cha
kuwakamata wanaume na hao watu wanaosema kuwa naongoza kwa kutembea na wanaume
za watu ni wale wenye nia ya kunichafua kwani mi si demu wa
hivyo,” alidai
HABARI/PICHA:
MPEKUKUZI
Post a Comment