Gari iliyosababisha ajali mwonekano wa mbele.
Hapa zikiwa zimegongana.
Mwonekano wa mbele...
Wananchi wakishuhudia ajali ilivyotokea.
Wasamaria wema nao huwa hawakosi kufika kwenye tukio.
Toyota hiace aliyogongwa kwa nyuma ikionekana kwenye picha.
Mmiliki wa Toyota Hiace bwana John Atanas akiongea na redio Living water fm live kuelezea tukio lilivyotokea.SOURCE FPLUSSS BLOG












Post a Comment