Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Balozi wa Vartican Nchini afanya mazungumzo na Rais, DK. Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Vatican nchini Tanzania Francisco Mantecillo Padilla,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar  kujitambulisha kwa Rais leo.
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Balozi wa Vatican  nchini Tanzania Francisco Mantecillo Padilla,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais leo.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top