Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando
(kushoto) akiongea wakati wa uzinduzi wa ushirikiano wa kampuni ya simu za
Mkononi ya Airtel na Bank of Afrika katika kutoa huduma ya Airtel money
kupitia matawi ya bank hiyo yote yaliyopo Tanzania. Uzinduzi huo ulifanyika jana
katika Makao makuu ya Airtel Morocco Jijini Dar es Salaam. pichani kulia ni mkuu
wa kitengo cha IT Bank of Afrika bwn. Willington Munyanga , akifatiwa na Mkuu
wa huduma za kibenki Mwanahiba Mzee na anayefatia ni Meneja Airtel Money John
Ndunguru.
Meneja Airtel Money John Ndunguru na
Mkuu wa huduma za kibenki Mwanahiba Mzee kwa pamoja wakikabidhiana mikataba
mara baada ya makubaliano ya ushirikiano wa Airtel na Bank of Afrika katika
kutoa huduma ya Airtel money kupitia matawi ya bank hiyo yote yaliyopo Tanzania.
Makabidhiano hayo yalifanyika jana katika Makao makuu ya Airtel Morocco Jijini
Dar es Salaam. wakishuhudia Katikati ni Mmoja ya wakala mkubwa wa Airtel money
kutoka kampuni ya Connexions bwn Shyamkumar Balakrishnan (katika) na kushoto ni
Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson
Mmbando
Meneja Airtel Money John Ndunguru na
Mkuu wa huduma za kibenki Mwanahiba Mzee wakipitia mkataba mara baada ya
makubaliano ya ushirikiano wa Airtel na Bank of Afrika katika kutoa huduma ya
Airtel money kupitia matawi ya bank hiyo yote yaliyopo Tanzania.
Post a Comment