MBUNGE WA MOSHI VIJIJINI DR. CYRIL AUGUST CHAMI
AMEIBUKA KIDEDEA
KATIKA
UCHAGUZU WA MJUMBE WA NEC KUPITIA WILAYA YA MOSHI VIJIJINI.
DR. CHAMI
ALIPATA KURA 967 (96%) KATI YA KURA 1008 ZILIZOPIGWA. KATIKA
UCHAGUZI
HUO NDUGU
GABRIEL MASENGA ALITETEA NAFASI YAKE YA MWENYEKITI WA CCM
WA WILAYA YA
MOSHI VIJIJINI
Post a Comment