Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI WA MKOA MBEYA KATIKA UKUMBI WA MKAPA JIJINI MBEYA.

Mkuu wa mkoa Mbeya ambaye pia ni mwenyetiki wa kikao hicho Abasi Kandoro akifungua kikao kikao cha kamati ya ushauri wa mkoa Mbeya


Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) Phillip Saliboko akizungumza na kamati ya ushauri wa mkoa Mbeya, akielezea kuhusu umuhimu wa usajili wa kizazi na kuwa na cheti cha kuzaliwa.
Anasema ni haki ya mtoto kisheria kutambuliwa na kuandikishwa mara tu anapozaliwa.

Wajumbe wa kamati hiyo wakiwa makini kusikiliza
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top