Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua utengenezaji dawa za binadamu
wakati alipotembelea kiwanda cha dawa za binadamu cha Mansoor Chemicals
Limited cha jijini Dar es salaam kilichotimiza miaka 50, Oktoba 2,
2012. Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda hicho, Mansoor
Daya.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwasha moja ya mtambo wa kutengeneza dawa
wakati alipotembelea kiwanda cha dawa za binadamu cha Mansoor Daya
Chemicals cha jijini Dar es salaam kilichotimiza miaka 50 Oktoba 2,
2012. Kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Mansoor Daya.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Bwana Mansoor Daya (kulia kwake ) na
familia yake baada ya kutembelea na kuzungumza wafanyakazi na
waalikwa wa kiwanda cha dawa za binadamu cha Mansoor Daya Chemicals
Limited cha jijijini Dar es salaam kilichotimiza miaka 50 Oktoba 2,
2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Bwana Mansoor Daya
Watoto wa Mansoor Daya
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Kiwanda cha Mansoor Daya
Post a Comment