Msanii maarufu wa filamu
nchini, Elizabeth Michael a.k.a LULU, (Katikati), akielekea kupanda basi la
magereza kwenye viwanja vya Mahakama ya Hakimu Kkazi Kisutu, baada ya kesi
inayomkabili ya kutuhumiwa kumuua msanii mwenzake, Hayati Steven Kanumba,
kuahirishwa tena na hivyo mwanadada huyo ambaye umri wake unaleta utata
ataendelea kusota rumande hadi hapo kesi yake itakapotajwa tena
LULU akielekea kupanda gari tayari kwa safari ya Segerea kunako mahabusu |
Post a Comment