Makamu wa kwanza wa raisi (SMZ) Seif Sharif Hamad akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu bara (CUF)Julius Mtatiro mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa kimataifa (KIA) kwa ajili ya ziara ya kichama kama katibu mkuu wa (CUF) Jijini Arusha mwishoni mwa wiki, kulia ni mkuu wa mkoa wa Arusha Magesa Mulongo.
on Monday, October 1, 2012
Post a Comment