Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif
Sharif Hamad akiagana na kiongozi wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa Bw. Akinyemi
Adegbola baada ya mazungumzo yao huko Ofisini Kwake Migombani Zanzibar. Kushoto
ni Mjumbe wa Umoja huo ofisi ya Zanzibar bibi Njeri
Kamau.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif
Sharif Hamad akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo yake na ujumbe wa Umoja wa
Mataifa huko Ofisini Kwake Migombani Zanzibar. Kushoto ni kiongozi wa ujumbe huo
Bw. Akinyemi Adegbola.Picha, Salmin
Said-Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
Post a Comment