Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa
ufunguzi wa Mkutano wa akina Mama Wajasiliamali kutoka Nchi za Ukanda wa Afrika,
uliofanyika leo Oktoba 22, kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar
es Salaam, ukiwa ni mkutano wa kwanza kufanyika nchini Tanzania.
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungao wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja
na washiriki wa mkutano wa akina Mama Wajasiliamali kutoka Nchi za Ukanda wa
Afrika, uliofanyika leo Oktoba 22, kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Kunduchi Beach
jijini Dar es Salaam, ukiwa ni mkutano wa kwanza kufanyika nchini
Tanzania.
Loading...
Home » Unlabelled » MAKAMU WA RAIS AKIHUTUBIA WAKATI WA UFUNGUZI WA MKUTANO WA AKINA MAMA WAJASIRIALIAMALI KUTOKA NCHI ZA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI.
Post a Comment