Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akishiriki katika matembezi ya hisani ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kujenga
uwezo wa Wahandisi wa Tanzania, yaliyoandaliwa na Wahandisi hao (Local
Engineers). Matembezi hayo yalianzia katika Viwanja vya Karimjee jijini na
kumalizikia katika Viwanja vya Leaders Club Kinondoni, jijini Dar es Salaam,
leo.
Matembezi yakizidi kusonga mbele na maongezi yakizidi kunoga....
Matembezi yakizidi kusonga mbele na maongezi yakizidi kunoga....Taa za kuongozea magari za Parm Beach.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akishiriki mazoezi ya viungo baada ya kumaliza kushiriki na kuhitimisha matembezi
ya hisani ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kujenga uwezo wa Wahandisi wa
Tanzania, yaliyoandaliwa na Wahandisi hao (Local Engineers). Matembezi hayo
yalianzia katika Viwanja vya Karimjee jijini na kumalizikia katika Viwanja vya
Leaders Club Kinondoni, jijini Dar es Salaam, leo.







Post a Comment