TAKWIMU ZA MECHI
Chelsea: Cech, Ivanovic, Luiz, Cahill, Cole,
Mikel, Ramires, Hazard (Sturridge
82), Oscar(Azpilicueta 66),
Mata (Bertrand 72), Torres.
BENCHI: Turnbull, Romeu, Moses,
Marin.
KADI: NJANO Torres, Mikel. NYEKUNDU: Ivanovic, Torres.
WAFUNGAJI WA MABAO YAO: Mata 44, Ramires
53.
Man Utd: De Gea, Da Silva, Ferdinand, Evans,
Evra, Valencia, Carrick, Cleverley(Hernandez 65),
Young, Rooney (Giggs 74), van Persie.
BENCHI: Lindegaard, Anderson, Nani, Welbeck,
Scholes.
NJANO: Rooney.
WAFUNGAJI WA MABAO YAO: Luiz (OG) 4, Van Persie
12, Hernandez 75.
MASHABIKI WALIOHUDHURIA:
41,644
REFA: Mark Clattenburg (Tyne &
Wear)
Hernandez akishangilia bao la ushindi la kuotea aliloifungia
Man United
Hernandez akishangilia bao lake alilofunga dakika ya
75
Torres akichukua pasi mbele ya Jonny Evans...
... Anaenda chini Torres
... Anapigwa njano ya pili na kuwa nyekundu, akidaiwa
kujiangusha na refa Mark Clattenburg
Spat: Ferguson na Di Matteo wakigombana karibu na mstari wa
Uwanja dakika 70 Stamford Bridge
Van Persie akipongezwa baada ya kuifungia Manchester United
bao la pili
Nyota wa Chelsea, Mata akifunga kwa mpira wa
adhabu
Ramires akiisawazishia kwa kichwa Chelsea dakika ya
53
Ivanovic was alipewa kadi nyekundu baada ya kumuangusha
Ashley Young
Ivanovic akionyeshwa kadi nyekundu kwa kumchezea rafu Ashley
Young
Timu
ya Manchester United imeifunga Chelsea katika uwanja wake wa nyumbani wa
Stamford Bridge kwa jumla ya magoli 3 - 2 katika mechi iliyochezwa siku ya
Jumapili.
Katika mechi hiyo
wachezaji wawili wa Chelsea Fenarndo Torres na Branislav Ivanovic walitolewa
baada ya kupewa kadi nyekundu na kuwapa nafasi Manchester United kutumia
upungufu huo kutawala mchezo.
Katika mechi nyingine
iliyochezwa siku ya Jumapili Newcastle imeifunga West Bromwich Albion kwa magoli
2 - 1 , huku Liverpool ikishindwa kulinda magoli yake mawili iliyoyapata kipindi
cha kwanza pale ilipocheza na Everton na kutoka sare ya magoli 2
-2.
Mechi nyingine
iliyochezwa hapo Jumapili ilikuwa kati ya Tottenham na Southampton ambapo
Tottenham ilitoka kifua mbele baada ya kukandamiza Southampton magoli 2 - 1
magoli yaliyofungwa na Gareth Bale na Clint Dempsey.
Post a Comment