MHESHIMIWA MBUNGE WA
VITI MAALUM MARY MWANJELWA AKIWA ANAWASILI KUTOKA KATIKA MATIBABU
YAKE.
MH. MARY MWANJELWA
AKISALIMIANA NA MWANDISHI WA HABARI CHARLES MWAKIPESILE
MH. MBUNGE WA VITI
MAALUM MH MARY MWANJELWA AKIWA NA MAMA LAWA MARA BAADA YA
KUWASILI.
MH. MBUNGE WA VITI
MAALUM WA CCM MARY MWANJELWA KULIA AKISALIMIANA NA MAMA LAWA.
MHESHIMIWA MBUNGE WA
VITI MAALUM MARY MWANJELWA AKISALIMIANA NA MHUHESHIMIWA MKUU WA WILAYA MBEYA
NORMAN SIGARA
MHESHIMIWA MBUNGE WA
VITI MAALUMU WA CCM MARY MWANJELWA AKISALIMIANA NA KATIBU TAWALA WA WILAYA YA
MBEYA.
Habari na picha na Mbeya
yetu








Post a Comment