Mtoto Shadya Kitenge aliyevaa
kofia nyeupe akimkabidhi mchezaji maarufu wa mpira wa mezani duniani (tennis)
ambaye ni mlemavu , Stephane Houdet (aliyevalia tisheti ya orange)kutoka
Ufaransa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Mwalimu Julius Nyerere leo asubuhi jijini Dares Salaam . Mchezaji huyo
atakuwepo kwa muda wa siku saba kwa ajili ya kuhamasisha mchezo kwa watu wenye
ulemavu na wasio na ulemavu. Pia atafanya mazungumzo na wadau mbalimbali wa
mchezo huo.
Mkurugenzi Msaidizi wa
Maendeleo ya Michezo Tanzania, Juliana Yasoda (kushoto) akiwa ameongozana na
mchezaji maarufu wa mpira wa mezani duniani (tennis) ambaye ni mlemavu ,
Stephane Houdet (aliyevalia tisheti ya orange)kutoka Ufaransa mara baada ya
kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere leo
asubuhi jijini Dares Salaam . Mchezaji huyo atakuwepo kwa muda wa siku saba kwa
ajili ya kuhamasisha mchezo kwa watu wenye ulemavu na wasio na ulemavu. Pia
atafanya mazungumzo na wadau mbalimbali wa mchezo huo.
Mchezaji maarufu wa mpira wa
mezani duniani (tennis) ambaye ni mlemavu , Stephane Houdet (aliyevalia tisheti
ya orange)kutoka Ufaransa akizungumza na familia yake na kulia ni mkewe mara
baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere leo asubuhi jijini Dares Salaam . Mchezaji huyo atakuwepo kwa muda wa
siku saba kwa ajili ya kuhamasisha mchezo kwa watu wenye ulemavu na wasio na
ulemavu.
Post a Comment