Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Eng. Omar A. Chambo kwa Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu Na. 6 (1) (b) cha Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 amewateua wafuatao;
1.o Mhandisi Kipallo A. Kisamfu kuwa Mkurugenzi  Mtendaji wa Kampuni ya Reli Tanzania na
 2.0 Bw. Elias A. Mshana kuwa Naibu Mkurugenzi Mtendaji (Huduma) Kampuni ya Reli Tanzania.
Uteuzi huu unanza tarehe 12/10/2012. 
Edward Mkiaru
KITENGO CHA HABARI
12/10/2012