Pichani juu ni Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu pamoja na baadhi ya Wanafunzi na Watendaji wa Plan na Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto mara baada ya Uzinduzi
Mhe. Ummy Mwalimu Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto akiingia katika Ukumbi wa Kalimjee kwa Uzinduzi wa KampeniMmoja wa Wanafunzi akiuliza swali wakati wa mdahalo kuhusu Uzinduzi wa Kampeni hiyo
Post a Comment