Naibu
Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria, Angela Kairuki akiwasalimia
Maofisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza wakati alipofanya ziara ya
kikazi leo katika Gereza la Keko lililopo jijini Dar es Salaam.
Naibu
Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria, Angela Kairuki akionja chakula
cha Mahabusu na Wafungwa wa Gereza la Keko lililopo jijini Dar es Salaam
alipotembelea sehemu ya jiko la Mahabusu na Wafungwa gerezani hapo leo.
Kamishna
wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akimkaribisha
Naibu wa Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria, Angela Kairuki (wa pili
kushoto) azungumze na Maofisa wa Magereza katika ziara ya Kikazi
aliyoifanya leo Gereza la Keko lililopo jijini Dar es Salaam.
Naibu
Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria, Angela Kairuki akizungumza na
Mahabusu na Wafungwa (hawapo pichani) wa Gereza la Keko jijini Dar es
Salaam alipofanya ziara ya kikazi gerezani hapo leo.
Post a Comment