Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Profesa Idris
Kikula (wa tatu kulia), kwa pamoja na Meneja wa Kanda ya Kati Bi Lilian Mwinula
wakisalimia wachezaji wa mpira wa miguu wakati wa bonanza iliyodhaminiwa na NMB
iliyofanyika kati ya timu ya wafanyakazi na wanafunzi wa mwaka wa
kwanza.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Profesa
Shabaan Mlacha akisalimiana na wachezaji wa timu ya mpira wa pete wakati wa
bonanza iliyodhaminiwa na Benki ya NMB kati ya timu ya wafanyakazi na wanafunzi
wa mwaka wa kwanza chuoni hapo.
Wachezaji wa timu ya mpira wa kikapu wa mwaka wa
kwanza wa Chuo Kikuu cha Dodoma wakiteta jambo na Kaimu Mkuu wa Chuo Kikuu cha
Dodoma Profesa Idris Kikula (wa kwanza kulia) wakati wa bonanza iliyodhaminiwa
na Benki ya NMB kati ya timu ya wafanyakazi na wanafunzi wa mwaka wa
kwanza.
Meneja wa NMB Kanda ya Kati Bi. Lilian Mwinula
(kushoto), akiwa na Meneja wa NMB Idara ya Wateja Binafsi Bw. Abdulmajid
Nsekela, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Profesa Idris Kikula na Mkuu wa
Masoko na Mawasiliano Bw. Imani Kajula wakishuhudia michuano hiyo iliyodhaminiwa
na Benki ya NMB ikiendelea mkoani Dodoma
Post a Comment