
Jacqueline Wolper (kulia), akipokea cheti cha ushindi
kutoka kwa DK. Cheni aliyekuwa jaji mkuu wa shindano hilo. Wolper akiwa
ameshikiria cheti chake muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi. Dok. Cheni akiwa kwenye pozi na Wolper juu ya
jukwaa. Msanii wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz
akiwajibika jukwaani na mnenguaji wake.
MSANII wa chimbo la filamu Bongo, Jacqueline Wolper
Masawe, usiku wa kuamkia leo ameibuka kidedea kwenye shindano lililokuwa
likiwashirikisha mastaa wa kike Bongo la Ijumaa Sexiest Girl ndani ya Ukumbi wa
Dar Live Mbagala jijini Dar es Salaam.


Post a Comment