Rais
Jakaya Mrisho kikwete na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda wakipitia Waraka wa
Utumishi Namba 5 wa mwaka 2009 kuhusu matumizi bora na salama ya vifaa na mifumo
ya teknolojia ya habari na mawasiliano (TEKNOHAMA) serikalini wakati wa kikao
cha kazi (retreat) cha siku tatu cha
Mawaziri, Manaibu Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae katika ukumbi wa
St Gaspar mjini Dodoma.
Mawaziri, Manaibu Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae katika ukumbi wa
St Gaspar mjini Dodoma.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha kazi (retreat) cha siku tatu cha
Mawaziri, Manaibu Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali
wanaokutana kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma. Pamoja naye meza kuu ni
Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali (kulia) na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.

Dk.
Jabir Kuwe Bakari, Mtendaji Mkuu, Wakala ya Serikali Mtandao, akitoa mada kuhusu
wakala huo kwa wajumbe kikao cha kazi (retreat) cha siku
tatu cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae katika
ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma.
tatu cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae katika
ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma.
Wajumbe
wakichangia katika kikao cha kazi (retreat) cha siku tatu cha Mawaziri,Manaibu
Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali wanaokutana kujadili mikakati
endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae ukumbi wa St Gaspar mjini
Dodoma.
Katibu
Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George Yembesi akifafanua
juu ya Waraka wa Utumishi Namba 5 wa mwaka 2009 kuhusu matumizi bora na salama
ya vifaa na mifumo ya teknolojia ya habari na mawasiliano (TEKNOHAMA) serikalini
kwa wajumbe kikao cha kazi (retreat) cha siku tatu cha Mawaziri, Manaibu
Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali kujadili mikakati endelevu na
utekelezaji wa sasa na wa baadae katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma.PICHA
NA IKULU.
Post a Comment