Mkurugenzi wa Clouds Entertainment Bwana Joseph Kussaga akiwa na mwanae wakiwagana na Rick Ross
Watangazaji
wa Choice FM na Clouds FM zinazomilikiwa na Clouds Media Vannesa Mdee
na Millard Ayo wakimfanyia mahojiano mwanamuziki aliyefanya balaa kwenye
Fiesta Dar Rick Ross muda mfupi kabla ya kuondoka kurudi kwao Amerika.
Feza Kessy na Vanessa Mdee wakishow love na Rick Rozay The Boss
Millard Ayo akigana na The Boss Rosy.. source shaffih
Post a Comment