Huyu ndie meneja mpya wa
Mwanamuziki Steve RnB , anaitwa Seif Kabelele, Kuanzia sasa ndiye atakayesimamia
Kazi za Muziki za Msanii Steve RnB.
Steve RnB, Mwanamuziki aliyetamba kwenye ngoma ya
Tabasamu aliyoshirikishwa na Mr Blue.
Mwanamuziki Kutoka Tanzania katika miondoko ya RnB
Steve RnB leo amepata Manager mpya ambaye atakuwa akisimamia kazi zake
zinazohusiana na muziki wake. Manager Wake Mpya anaitwa Seif
Kabelele.
Post a Comment