Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

SIMBA YAIFUNGA JKT OLJORO YA ARUSHA MAGOLI 4-1 UWANJA WA TAIFA

 
Mchezaji wa timu ya Simba Christopher Edward akijaribu kwania mpira miguuni mwa mchezaji Nafo Zuberi wa JKT Oljoro ya Arusha katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom uliokutanisha timu hizo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jioni hii, mpira umekwisha na timu ya Simba imeshinda magoli 4-1 baada ya kuizidi ujanja JKT Oljoro ya Arusha na kutumia makosa ya wachezaji wa timu hiyo, magoli ya Simba yamefungwa na wachezaji Amri Kiemba magoli mwili, Felix Sunzu kwa njia ya penati na Emmanuel Okwi goli moja.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright 2025 EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG | Designed By Code Nirvana
Back To Top