Mwakilishi wa Benki ya TIB, Bw. Allan Magoma akiongea kwenye hafla hiyo
Katibu
tawala wa mkoa wa Kilimanjaro Faisal Issa(kulia) na mwakilishi wa Benki
ya TIB, Allan Magoma wakitiliana saini mkataba wa ujenzi wa soko la
kisasa la Okolova wilayani Moshi, litakalogharimu kiasi cha shilingi
bilioni 10. Waziri wa masuala ya Jumuiya ya Afrika mashariki Mhe Samwel
Sitta, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe Leonidas Gama na Mkuu wa Wilaya
ya Moshi Dkt. Ibrahim Msengi wakishuhudia
Kubadilishana nyaraka
Waziri
wa jumuiya ya Afrika mashariki Mhe Samwel Sitta ambaye alishuhudua zoezi
la utilianjai saini akizungumza mara baada ya kuangalia michoro ya
ujenzi wa soko hilo.
Mchoro wa soko hilo ikioneshwa.
Post a Comment