Loading...
SUMA LEE AIBIWA "MKOKO" WAKE MAENEO YA COCO BEACH
Kama unakumbuka lile gari ambalo mtu mzima Suma Lee alilopata nalo
ajali kipindi akielekea zake mkoani Kigoma kwa kupiga show sasa habari
ambayo tumeipata hivi sasa kutoka kwa msanii huyu ni kwamba siku ya Jumapili
iliyopita akiwa zake maeneo ya Coco Beach alijikuta ni mtu ambaye sio mwenyewe furaha baada
ya kuibiwa gari lake siku hiyo
Post a Comment