|
Waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Dr. Shukuru
Kawambwa akila chakula cha mchana na wanafunzi wa shule ya msingi ya Arusha.
alipofanya ziara ya kushtukiza ,kujionea huduma za chakula inayotolewa kwa
wanafunzi shuleni hapo. |
|
Waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Dr. Shukuru
Kawambwa akifurahia chakula cha mchana na wanafunzi wa shule ya msingi ya
Arusha. |
|
Waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Dr. Shukuru
Kawambwa akijilamba chakula cha mchana na wanafunzi wa shule ya msingi ya
Arusha.Huku waandishi wa habari wakipata matukio. |
on Tuesday, October 30, 2012
Post a Comment