Hati kuithibitisha Wilaya ya Kalambo kutoka
Mkoa wa Rukwa kuwa mshindi wa kwanza wa shughuli za mbio za mwenge wa Uhuru
mwaka 2012 katika kanda ya nne iliyohusisha Mikoa mitano ya Kigoma, Katavi,
Tabora, Rukwa na Mbeya na Wilaya zake.
Mkuu wa Wilaya mpya ya Kalambo Moshi Chang'a
ambaye alimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya kwenye
shughuli za kuzima Mwenge wa Uhuru Mkoani Shinyanga akionyesha Kikombe na Cheti
alichokabidhiwa na Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete kama zawadi ya ushindi kwa
Wilaya yake baada ya kushika nafasi ya kwanza katika shughuli za mbio za mwenge
wa Uhuru mwaka 2012 katika kanda ya nne iliyohusisha Mikoa mitano ya Kigoma,
Katavi, Tabora, Rukwa na Mbeya na Wilaya zake alipowasili jana Mkoani Rukwa
aikitokea Shinyanga.
Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga
Methew Sedoyyeka akimpa Mkono wa pongezi Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Moshi Chang'a
kwa ushindi alioupata wa Wilaya yake mpya kuwa mshindi wa kwanza wa shughuli za
mbio za mwenge wa Uhuru mwaka 2012 katika kanda ya nne iliyohusisha Mikoa mitano
ya Kigoma, Katavi, Tabora, Rukwa na Mbeya na Wilaya zake. Katikati ni Katibu
Tawala wa Mkoa wa Rukwa Alhaj Salum Mohammed Chuma.
Katibu
Tawala Mkoa wa Rukwa aikifurahia kikombe hicho.
Post a Comment