Ligi
kuu ya Tanzania Bara imeendelea jana katika uwanja wa kaitaba Mjini
Bukoba ambapo timu ya Yanga imeambulia kichapo cha bao 1-0 Kutoka kwa
wakata miwa wa Kagera Sugar na kupoteza mchezo huo, Bao la Kagera Sugar
lilipatikana dakika ya 40 kipindi cha pili cha mchezo, Bao hilo
lilifungwa na mchezaji mahiri mzaliwa wa Kimbugu Muleba Temmy Alfonce
(Picha kwa hisani ya bukobawadau blog)
Benchi la wachezaji wa timu ya Yanga katika hali ya sintofahamu
Mchezaji wa Yanga Said Bahanzi aumia vibaya baada ya kuangka mnamo dakika ya 22 kipindi cha kwanza cha mchezo.
Sehemu ya mashabiki wa Kagera Sugar Jukwaani
Post a Comment