Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

AGGREY MORRIS AONDOLEWA KWENYE KIKOSI CHA AZAM.



Klabu ya AZAM ya imemuondoa kikosini nahodha Aggrey Morris kama kweli alihusika na tuhuma za rushwa. Beki huyo na nahodha wa timu hiyo ameondolewa kwenye kikosi na kocha Stewart Hall.
Tayari Morris alikuwa mjini Tanga pamoja na kikosi cha Azam kinachojiandaa na mchezo dhidi ya JKT MGAMBO hapo kesho amerejeshwa jijini Dar Es Salaam,kocha Stewart Hall amemuondoa nahodha huyo kikosini baada ya kuonyeshwa vielelezo vya wachezaji waliohusishwa na tuhuma za kuchukua rushwa ili kuifungisha Azam, kitendo ambacho kimewaudhi sana wachezaji wa Azam.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top