IGP
Said Mwema (kushoto) na kulia Polisi wakimshughulikia Mwandishi wa habari
Marehemu Daudi Mwangosi ambaye baadae alilipuliwa na bomu la
machozi.
mtuhumiwa wa mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa
kituo cha Chanel Ten mkoa wa Iringa na mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa
habari mkoa wa Iringa (IPC) marehemu Daudi Mwangosi leo hajafikishwa
mahakamani kwa madai ya jeshi la polisi kukosa mafuta ya kupeleka mahabusu
mahakamani hapo.
Hivyo kutokana na mahabusu leo kukwama kufika
mahakamani mtuhumiwa huyo atafikishwa mahakamani hapo Vovemba 21 mwaka
huu.
mtuhumiwa wa mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa kituo cha Chanel Ten mkoa wa Iringa na mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Iringa (IPC) marehemu Daudi Mwangosi leo hajafikishwa mahakamani kwa madai ya jeshi la polisi kukosa mafuta ya kupeleka mahabusu mahakamani hapo.
Hivyo kutokana na mahabusu leo kukwama kufika mahakamani mtuhumiwa huyo atafikishwa mahakamani hapo Vovemba 21 mwaka huu.
Post a Comment