MAGWIJI wa Chelsea, Frank Lampard na Ashley Cole
wataondoka mwishoni mwa msimu baada ya Rafa Benitez kuthibitisha kubomoka kwa
kikosi cha ubingwa cha Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Wachezaji wote hao wanamaliza mikataba yao mwishoni mwa
msimu na kocha mpya wa Chelsea amesema hawastahili kuendelea kubaki Stamford
Bridge baada ya msimu huu.
Lampard, mfungaji bora namba tatu wa kihistoria wa
Chelsea, ameshinda mataji matatu ya Ligi Kuu England, manne ya FA na moja la
Ligi ya Mabingwa Ulaya katika miaka yake 11 ndani ya klabu hiyo.
Safari: Ashley Cole na Frank Lampard (chini) watatemwa
Chelsea
Cole, aliyejiunga na Chelsea
akitokea Arsenal mwaka 2006, ameshinda taji la Ligi Kuu ya England, manne ya FA
na Ligi ya Mabingwa kwa kipindi chake cha kuishi Stamford Bridge.
Benitez alionekana kwenye picha na Mkurugenzi wa
Ufundi, Michael Emenalo wakiwa kwenye chakula cha usiku na mmiliki wa Chelsea,
Roman Abramovich.
"Nilitumia saa kama mbili au tatu na mmiliki,
tulizungumzia kila kitu. Anafahamu mawazo yangu, lakini hatukuwa na muda wa
kutosha pamoja. Labda wakati mwingine tena.
"Kama unajiamini na kujieleza, kila mmoja anaweza
kukuelewa. Mtazamo wangu kwa mmiliki, ni mtu mzuri. Unaweza kuzungumza naye na
ni mwelewa. Anapenda kuona una mawazo mazuri
Mipango ya muda mfupi:
Rafa Benitez anataka kuendelea na wachezaji waliopo Chelsea hadi mwisho wa
mikataba yao
Si Torres pekee: Benitez anataka kuiboresha timu
nzima
Read
more: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2237633/Frank-Lampard-Ashley-Cole-leave-says-Rafa-Benitez.html#ixzz2D6wWWLeM
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
Safari: Ashley Cole na Frank Lampard (chini) watatemwa
Chelsea
Mipango ya muda mfupi:
Rafa Benitez anataka kuendelea na wachezaji waliopo Chelsea hadi mwisho wa
mikataba yao
Si Torres pekee: Benitez anataka kuiboresha timu
nzima


Post a Comment