Mkurugezi
Mkuu wa bodi ya bahati nasibu Tanzania,Abasi Tarimba akisimamia uteketezaji wa
mashine za kuchezesha bahati nasibu ambazo zimeingizwa nchini bila kufuata
utaratibu ambazo zimeletwa na kufungwa maeneo ya ostabay zikitokea nchini urusi
ambapo nchi ya urusi imepiga marufuku mchezo wa bahati nasibu.mashine hizo
zilikuwa 80 zenye thamani ya shilingi milioni 300 za
kitanzania.
Mashine
hizo zikiteketezwa kwa kukanyagwa na Katapila.Picha na Chris
Mfinanga
Post a Comment