picha haihusiani na story picha nimeitoa GPL |
Nilikua
mwajiriwa katika kampuni moja maarufu jijini dare s salaam , katika kuajiriwa
kwangu huko nikawa msaidizi maalumu wa bosi wa kampuni ile , basi siku moja moja
nilikuwa naenda kujirusha na bosi wangu .
Ukizingatia
kwamba sikuwa na mume wala mchumba na kwa kweli huyu bosi ndio alikuwa mtu wa
kwanza kufanya nae tendo la ndoa , hivyo nilifurahia mhemko wake na jinsi
alivyokuwa ananipenda na kunijali kila kitu nilipata na zaidi .
Alifanya
yote haya bila kunificha kwamba ana mke na watoto nyumbani kwake kwahiyo wakati
mwingine chochote kinaweza kutokea nijiandae kwa shuguli hiyo pevu kama mke wake
akishitukia dili hilo .
Tulikuwa
na uhusiano na huyu bosi kwa miezi 4 hivi mpaka siku moja katika tembea tembea
mitaani nikakutana na kijana mmoja mtanashati akanieleza kwamba ananipenda na
kunizimia sana yaani ameshanifia
Huyu
kijana alihangaika kwa mwezi mzima mpaka siku nikaja kumkubalia akawa ndio
mpenzii wangu halali sasa , nilimwamini sana na yeeye aliniamini sana , miezi 3
tokea kujuana na huyu kijana aliniambia kuhusu kufanya nae tendo la ndoa
.
Nilifikiria
sana wakati mwingine nilitaka kulia jinsi alivyokuwa ananishika na kuniomba
tendo la ndoa akiwa chumbani kwangu , alijaribu kunishika sehemu kadhaa akanivua
nguo nami nilimtolea nje nilimkatalia .
Basi
siku moja nikamwomba tukaangalie afya zetu , kijana wa watu alikasirika sana
wiki nzima hakufika nyumbani kwangu wala kunipigia simu , kumbe alitaka tufanye
tendo la ndoa bila kinga ? sasa ningejuaje kuhusu afya yake ? au ananiamini nini
mimi ?
Maisha
yaliendelea na mambo mengine yaliendelea tu wiki ya 3 alinipigia simu akaniomba
msamaha turudiane na alikubali kwenda na mimi kupata vipimo vya afya zetu kujua
kwanza kabla hatujaanza mambo mengine yoyote yale .
Basi
ndio hivyo majibu yaliyoka mazuri , ndio mapenzi yetu alikuwa zaidi na penzi
nilimpa bila hiyana wala aibu yoyote , yeye mwenyewe alifurahia mambo yangu na
kwanza alikuwa anatoroka nyumbani kwao kuja kulala kwangu wakati mwingine mwezi
mzima .
Tuliendelea
kwa miezi kadha na huyu kijana huku na mimi nikiwa na bosi wangu kule kazini ,
basi bwana siku moja , sisi officini tulitakiwa kwenda kutoa damu hospitali ya
muhimbili katika maadhimisho ya siku ya afya duniani . Watu walipimwa afya zao
na mimi nilipimwa , majibu yangu yalikuwa ya kutatanisha sikuamini macho yangu
wala masikio yangu , nilienda hospitali ingine napo majibu yalikuwa yale yale
kwamba nimeathirika na UKIMWI .
Haya
majibu yalimfikia mpaka bosi wangu nae akatambua hilo akasikitika sana na yeye
alivyoenda kupimwa akakutwa hajaathirika , basi nikajua moja kwa moja ukimwi
nimepata kutoka kwa yule kijana wa mitaani na sio mtu mwingine
.
Nikamwomba
huyu kijana tukaangalie afya zetu kwa mara ingine tena hospitali , tukaenda kule
kupima afya zetu , yeye ndio alikuwa wa kwanza kupokea majibu yake , alikutwa
ameadhirika akupata mshituko wa ghafla yaani haamini .
Mshituko
huo ulimpelekea aanguke chini na kuzimia watu walienda kumbeba na kumpeleka
hospitali kupatiwa huduma ya kwanza basi hapo ndio magonjwa mengine yalianza
kujitokeza na kujulikana sana .
Kumbe
huyu kijana alikuwa na urafiki wa kimapenzi na shugamami mmoja mtaa wa pili huyu
shuga mami mume wake alifariki dunia miaka 5 iliyopita kwa UKIMWI watu wanaema
TB sijui , ndio huyu kijana kuona zile pesa za shuga mamy akaenda kwake
.
Kijana
aliumwa kwa miezi 3 hivi kisha akafariki dunia akaniacha duniani mwenyewe , kule
kazini nilifukuzwa kaza na bosi wangu kisa nilitaka kumwambukiza ugonjwa wa
ukimwi , lakini siku moja alinipigia simu kunieleza kwamba mke wake ameadhirika
na UKIMWI pia lakini yeye anasema hajaadhirika .
Hapo
ndio nilishangaa sana , kwanini mke wa aadhirike yeye asiadhirike au mke wake
nae alikuwa anatoka nje ya ndoa bila mume wake kujua ? basi hiyo ni siri yao
nyumbani kwao mimi hayanihusu .
Lakini
ndio hivyo nilikuwa nimeshaadhirika na UKIMWI kazi nimeshafukuzwa sina cha
kufanya wala kutafakari nilifikiria zaidi kuhusu ugonjwa wangu wa UKIMWI na
jinsi nitakavyoweza kuishi maisha marefu kwa matumaini .
KAHABA
Baada
ya kuona maisha magumu na sina lolote la kufanya mimi kama mwanamke mrembo na
mwenye mvuto niliamua kutafuta njia rahisi zaidi ya kujipatia kipitano
nilifikiria njia nyingi sana ambazo zingeweza kunipatia angalau mlo na mavazi
katika siku zangu za maisha zilizobakia baada ya kugundulika nina virusi vya
ukimwi
Nikaanza
kutafuta sehemu ambazo naweza kuuza mwili wangu kwa pesa za chapchap niweze
kuendeleza maisha yangu ya kila siku , nilikuwa na ramani yangu kwanza pale OHIO
, JOLLY , MACHENI , BILLS NA LATAVERNA hizo ni sehemu 5 kuu za starehe jijini
dare s salaam kwahiyo huko naweza kufanya kazi za kujiuza kwa wiki nzima kila
siku bila kuchoka .
Ohio
ilikuwa nzuri ila tatizo lake ni kwamba kila anayepita pale anakujua halafu
unatakiwa uonyeshe maungo yako hazarani mimi sikuzoea tabia hizo na sikuwa na
mhemko huo kwahiyo nilivaa miwani yangu na kuacha mapaja nje tu waangalie
wenyewe kama wanapenda watakuja . Kule macheni tatizo lake ni mashoga wengi sana
, yaani mwanaume anaweza akaja kutafuta Malaya akakuchanganya wewe ni shoga ,
wale mashoga wanaojiuza hawana tofauti na sisi wanawake tunaojiuza wakati Fulani
ulitokea ugomvi mkubwa watu waliamulia tulimgombea mwanaume .
Billa
nako kuzuri ila vijana wengi sana halafu hawana pesa , na vitoto vidogo vingi ,
nilikuwa naogopa matatizo na vijana wa kule sikupenda kufanya mchezo na watoto
wadogo waliokuwa wananitaka hata kwa dau gani nilingoja wanaume wenye pesa zao
tu sio zaidi .
Basi
nilianza safari za kuelekea jolly club kwa ajili ya kujiuza mwili wangu nipate
angalau chochote cha kula na kufanya katika maisha yangu , pale jolly club
nilikutana na dada mmoja anaitwa Aisha , huyu dada nae ni kahaba mzoefu akaanza
kunionyesha mambo kadhaa wa kadha kuhusu biashara ya ukahaba na kadhalika . Hapa
ndio nilijufunza kwamba sio makahaba wote ni masikini au hawajiwezi kuna wengine
wanajiweza na wanazo fedha ila wanapenda kufanya ukahaba yaani wamechoka na
dunia wengine walikuwa na wanaume wao wakaachika wakaamua kuja huku kwenda na
mwanaume wowote yule anayekuja .
Wengine
wana matatizo katika ndoa zao kupigwa na kadhalika wanaamua kuja huku kujiuza au
kukaa huku ili kuepuka matatizo katika ndoa zao au mahusiano yao , wengine ndio
kama hivyo waume zao hawana nguvu za kutosha kufanya nao tendo la ndoa wanaamua
kuwa makahaba kila mtu na lake na mambo yake pia .
Wengine
wanafanya huu ukabaha kwa ajili ya kupeleleza yaani ni wapelelezi wa polisi au
watu Fulani katika serikali wako katika mitaa hii kuzuga tu , ili wafanikishe
kazi zao za uchunguzi kama polisi wa usalama sehemu walizoko .
Mwisho
wa yote siku hizi kuna vita kubwa katika biashara hii ya ukabaha mjini dare s
salaam , mfano kule jolly kuna wazungu na wahindi wanakuja kufanya biashara ya
ukahaba kwahiyo wewe mwamfrika unakazi ngumu kuwapita wale wazungu na wahindi au
wachina .
Siku
hizi wanaume wengi wanapenda kitu kinaitwa JICHO yaani kufanya mapenzi kinyume
na maumbile , hii nayo ni soko kuu , mfano mwingine anaweza kuja kwako anataka
jicho na wewe hutoi jicho maana yake unakosa soko suluhicho ni kujitoa mhanga na
kufanya mapenzi kwa kuwa mteja ni mfalme .
Mbaya
zaidi kuna wanaume wengine wanakuja wanaweza kukuchukua uende nao kufanya ngono
kumbe wanakupiga filamu za ngono wakati unafanya kitendo hicho haswa wazungu
wengine wanakupa ufanye mapenzi na mbwa wao au wanyama wao wengine mambo
yanaenda hivyo .
Biashata
hii ya ukahaba ilinichanganyia sana kwa miaka 2 niliyoifanya na kwa kweli hakuna
aliyenijua kama nimeadhirika na ugonjwa wa ukimwi nilikuwa najitunza na kutuza
siri zangu hizi kuu na sikupenda kuzoeana na watu sana hadi waniulize
hivyo
Siwezi
kuhesabu ni watu wangapi nimefanya nao ngono lakini ni zaidi ya 300 siku zingine
nafanya kazi na watu zaidi ya 3 kwa siku moja kwahiyo mambo yanaendelea halafu
wengi hawakupenda kutumia mipira ya kiume yaani kondo walipenda kuja hivi hivi
tu bila kinga chochote kile
Na
mimi nilikuwa nimeshaadhirika nilichokuwa natafuta ni fedha za kuendeleza maisha
yangu kwahiyo hata kama nikifanya ngono zembe bila kinga mimi hainiumi sana kwa
kuwwa nilishajua hali yangu sikuweza kuitengua siku wa chochote cha kufanya
zaidi ya hichi .
Hii
ilikuwa ni kulipiza kisasi kwa maasi ambayo yule kijana alinifanyia kuniambukiza
UKIMWI kwa makusudi huku akijua kabisa ameadhirika siku nyingi ,kwakuwa yeye
ameamua kuniuwa mimi basi na mimi nauwa wengi zaidi na sijali kuhusu dhambi hizi
nilizozifanya na sijutii kabisa .
MAISHA
YA MTAANI
Huku
mitaani waliniita majina kama JLo wakati mwingine salma hayek yaani wale
waigizaji maarufu duniani kwa urembo nilio nao na mvuto wake , hakuna hata mmoja
aliyekuwa na mawazo kama nimeadhirika au la kwa maana yule kijana niliyekuwa nae
kama mpenzi alikufa kifo cha ghafla watu walisema amekufa kwa pressure
.
Mitaani
napo nilikamua kinoma , waume za watu walikuja mpaka mlangoni kwangu na magari
yao , wananipakia na kunipeleka katika kumbi za starehe na sehemu nyingine
nyingi sana wengine walinihonga mali na mambo kibao kisa wamenipenda wanataka
ngono
Na
kwa uhakika hawa wanaume niliwapanga sawia kabisa na hakuna aliyeweza kutambua
mimi nina wanaume wangapi na wanaishi wapi wengi walijua ni washirika wangu
katika kazi zangu na mambo yangu mengine kwanza sikupenda kuongea na mwanaume
wowote chumbani kwangu wote nilikuwa nawaambia tukutane mbali kidogo na nyumbani
haswa kati katika ya jiji .
Katika
hawa wateja wangu kulikuwa na kijana mmoja anayeitwa juma huyu juma alikuwa na
rafiki yake mmoja anayeitwa Shy , kijana mwembamba mwenye umbo la wastani , hana
ndevu halafu ni mcheshi sana , alifanikiwa kuiteka moyo wangu , sasa nilitaka
kumwambia mara kibao kwamba nimemzimia
Tatizo
ni kwamba anayekuja kunichukuwa pale ni juma , juma huja pale kwa kusindikizwa
na Shy , basi juma akanitambulisha katika website moja inayoitwa darhotwire
www.darhotwire.com , nyumbani nikienda kupumzika nilipenda kushinda katika
tovuti hii kuchat na marafiki na watu wengine .
Huyu
shy nae nilimkuta katika site hii usiku wa manane anachat na jamaa zake , ila
siku moja nilikutana na kijana mwingine anayeitwa politeman , huyu ndio
alinichanganya kabisa , kwanza jina lake na jinsi aliyokuwa anaongea kweli
nilizimia mwenyewe bado nikawa na siri kubwa moyoni je hivi tukifanya ngono
inakuwaje ?
Maisha
yaliendelea tu , basi nikimpenda politeman , huyu kijana akawa anakuja mpaka
nyumbani kwangu wakati mwingine na huwa nampa computer yangu aitumie tukaenda
zaidi nilimshitukia kumbe huyu polite ana urafiki wa kimapenzi na dada mwingine
anayeitwa salma siku moja walipanga kwenda kufanya mapenzi lakini polite
akakataa ?
Sikuamini
macho yangu wala masikio siku nyingi kama naota kumbe polite alikuwa na urafiki
na dada mmoja anaitwa Maria Chipz ?? Sikuamini , nilimuheshimu sana maria na
sikutegemea kama anaweza kufanya hivyo hata siku moja , muda ukaenda kumbe kuna
dada mwingine anaitwa REHEMA naye alikuwa anampenda Politeman Miss upanga Naye
anampenda Politeman we acha tu
Nikamwaga
chini sikupenda tabia zake za kitoto kitoto anazowafanyia hao kina dada wengine
ingawa nilifanya nae mapenzi kama mara 4 hivi na mara zote hatukutumia kinga na
nilikuwa nimeadhirika ila ni siri yangu , polite hajui na wengine wote hawajui
lakini ndio maisha hayo
Haya
ndio hivyo , nami sasa hivi nakaribia kufariki dunia niko zangu kitandani hapa
hospitali ya Amana mkoani dar es salaam , kweli maisha ni safari ishi upendavyo
na sio watakavyo , mwisho wa yote dunia sio hadaa wala dunia haikuchukii au
haitaki kukufanyia chochote kibaya
Bali
watu ndio hadaa , hata kama ni ndugu yako rafiki yako , hakikisha humpi nafasi
akutawale aweze kukumiliki wewe na kukuamrisha chochote kile anachotaka yeye ,
kama ukifanya hivyo ndio utaishia kubaya kama mimi
Bosi
wangu alinimiliki sana nikampa penzi , kijana wa mitaani nae alinimiliki mpaka
sasa nimeaona faida zake na hasara zake
nb:
majina yaliyotumika hayahusiani na mtu yoyote ni story tu
Story ya http://suleimanmagoma.blogspot.com
Post a Comment