Ijumaa hii Tanzania
itashuhudia washiriki wa 5 waliobaki katika shindano kubwa la kutafuta vipaji
vya kuimba hapa nchini EBSS wakipanda kwenye stage ya Daimond Jubilee ambako
mshindi ataondoka na pesa taslimu shilingi milioni 50.Usiku huo wa fainali za
shindalo hilo la EBSS ambalo mwaka huu limedhaminiwa na Kampuni ya simu ya
Zantel na lilikuwa likitumia kauli mbiu ya 'FUNGUKA' utapambwa na na burudani
kutoka kwa wasanii wakubwa hapa Tanzania kama Mwasiti,Rich
Mavoko,Amini,Linah,Ben Pol,Barnaba,Banana Zorro,Linex, Mzee Yusuph,Haji
Ramadhani, Laila Rashid na Ditto.
Barnaba mmoja ya wasanii watakaoperfom siku hiyo
Barnaba mmoja ya wasanii watakaoperfom siku hiyo
Post a Comment