Kutoka
kulia, Mwenyekiti wa Taasisi ya Eductaion and Expedition Agency Association,
Violeth Kaberege, mjumbe wa taasisi, Mrs Kanal Kipingu na Mgeni rasmi Emanuel
Mjema wakifuatilia hafla hiyo.
Mgeni rasmi, Emanuel Mjema akifungua rasmi
harambee ya kuchangia.
Mwakilishi
kutoka Ubalozi wa Angola, Fransisco Cassanda akikabidhi cheki ya shilingi
milioni moja kama mchango wa tuzo hizo.
HAFLA ya
kuchangia mfuko tuzo za waalimu jana ilifanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubelee
ikiwa adhma waandaaji wa tuzo hizo, Taasisi ya Education and Expedition Agency
Association ilikuwa ni kuchangisha zaidi ya shilingi milioni 900 kufanikisha
tuzo hizo zitakazotolewa hapo baadaye.aaaa
PICHA/
HABARI : ERICK EVARIST NA GLADNESS MALLYA/GPL
Post a Comment