 |
| Baadhi
ya wachezaji wa Harambee Stars wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza kwa
ajili ya pambano lao la kirafiki dhidi ya Taifa Stars.mchezo utakao chezwa
jimatano katia uwanja wa ccm kirumba
mwanza |
 |
| Baadhi
ya wachezaji wa Harambee Stars wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza kwa
ajili ya pambano lao la kirafiki dhidi ya Taifa Stars.mchezo utakao chezwa
jimatano katia uwanja wa ccm kirumba
mwanza |
 |
| Baadhi
ya wachezaji wa Harambee Stars wakiwasili katika hotel ya G&G Jijini Mwanza
walikopangiwa ambapo timu hiyo itajipima nguvu na Taifa Stars kwenye uwanja wa
CCM Kirumba katika mchezo wa kupimana nguvu
. |
 |
| Baadhi
ya wachezaji wa Harambee Stars wakichangamkia juisi baada ya kuwasili katika
hotel ya G&G Jijini Mwanza jana. (Picha zote na George
Ramadhan |
 |
Golikipa
na Nahodha wa Taifa Stars Juma Kaseja akijifua na kipa mwenzake wa Taifa Stars,
Deogratius Munisi (Dida) kwenye uwanja wa CCM Kirumba katika matayarisho ya
mchezo wao na Harambee ya
kenya |
 |
| Kocha
Mkuu wa Taifa Stars Kim Poulsen akimpa maelekezo Mbwana Samatta wakati wa
mazoezi ya timu hiyo juzi kwenye uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.katika
mazoezi |
 |
| Kocha Mkuu wa Taifa Stars
Kim Poulsen akitoa maelekezo kwa wachezaji John Boko (kulia) na Amri Kiemba
wakati wa mazoezi ya timu hiyo kwenye uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza |
on Wednesday, November 14, 2012
Post a Comment