Bu Nako(N2N) na Fido wa Vatoloco wakihojiwa
na mwandishi Victor Machota kutoka Arusha
Mchakato wa wasanii wa muziki wa Arusha kupata
Umoja wao wazidi kuchukua sura mpya baada ya umoja huo kupata jina rasmi
litakalowakilisha umoja huo.
Mchakato huu uliofanyika ndani ya ukumbi wa Via
Via, ulizaa matunda na ambapo ulipata jina rasmi la umoja huo unaofahamiaka kama
'CHAMA CHA WASANII WA MUZIKI
ARUSHA'
Nakaaya akiwa na Katibu wa Umoja huo
Abdul
Mkutano huo ambao msanii Nakaaya alikuwa
Mwenyekiti akisaidiwa na katibu wake Abdul walifanikisha kugawa katiba ya chama
hicho na kuwapatia muda wajumbe kuisoma na kutoa makubaliano katika kikao
kijacho.
Wasanii wakisikiliza
Post a Comment