Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

HII NDIO TIMU YA MAUAJI YA 2015

                                                                     ****************
Mwenyekiti na Makamu Wenyeviti:
 
Rais Jakaya Kikwete amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM kwa kura 2395 kati ya 2937 zilizopigwa ambazo ni sawa na asilimia 99.92%

Akitangaza matokeo hayo Spika wa Bunge la Tanzania ambaye ndiye alikuwa msimamizi, Anne Makinda alisema kwamba Mwenyekiti alipata ushindi wa kura 2,395 kati ya kura 2,937 zilizopigwa, kura mbili zilisema hapana.

Makamu Mwenyekiti Zanzibar Dkt. Ali Shein alipata kura 2,397 wakati makamu kwa upande wa Bara ndugu Phillip Mangula naye alipita kwa asilimia mia moja.

Wajumbe 20 wa viti vya Bara na Zanzibar ni kama ifuatavyo:

Nafasi kumi za NEC Zanzibar:

  1. Mbarawa Mnyaa - 1,850
  2. Mohammed Seif Khatib - 1,668
  3. Khadija Hassan Aboud - 1,625
  4. Shamsi Vuai Nahodha - 1,603
  5. Dkt. Hussein Mwinyi - 1,579
  6. Samia Suluhu Hassan - 1,525
  7. Omar Yussuf - 1,485
  8. Bhawanji Misuria Mshamba - 1,406
  9. Abdulhakim Cosmas Chasamma - 1,248
  10. Khamis Mbeto - 1,233

Nafasi kumi za NEC Tanzania Bara:

  1. Wassira Stephen - 2,135
  2. January Makamba - 2,093
  3. Mwigulu Nchemba – 2,012
  4. Shigella Martine - 1,824
  5. Lukuvi William - 1,805
  6. Membe Bernard - 1,455
  7. Mathayo David - 1,414
  8. Mukama Wilson - 1,374
  9. Msome Jackson - 1,207
  10. Mukangara Fenella – 984

Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa, ;
  1. Nafasi ya Katibu Mkuu, alimpendekeza Mhe. Abdulrahaman kinana.
  2. Nafasi ya Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Mhe. Vuai Ali Vuai.
  3. Nafasi ya Naibu Katibu Mkuu Bara, Mhe. Lameck Madelu Nchemba.
  4. Katibu wa Oganaizesheni ni Ndugu Mohamed Seif Khatibu.
  5. Katibu wa Siasa na Mahusiano ya Kimataifa, Asha-rose Migiro.
  6. Katibu wa Uchumi na Fedha, Zakhia A. Meghji.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top