Kuingia Ukumbini sasa...Karibu sana |
Mr. Gadiola Emanuel nikiwa na wenzangu kutoka katika Redio na Televisheni tofauti hapa Tanzania tukipata nondozz zetu kutoka katika Chuo cha Uandishi wa Habari Arusha. |
Gari langu......!!!! |
Elimu ni popote na kwa watu wote...!!! |
Mtoto wangu kipenzi Glory Gadiola Emanuel |
Kusoma na Familia ni kazi ngumu na inaitaji moyo sana...!!! |
Nawashukuru Wakufunzi wangu na Mkurugenzi wa Chuo cha Uandishi wa Habari Arusha. |
Chezea cheti wewe...??haupati kwa Umbea au Ubinafsi...!!! |
Hongera mdogo wangu wa ukweli... |
Hongera Mdogo wangu |
Hongera Mume wangu....kusoma na familia ni kazi nzito!!! |
Familia yangu hii hapa...!!!kulia ni Mke wangu Kipenzi Upendo Mwakobela na Mwanangu Glory na Kushoto kwangu ni Dada yangu . |
Kugonga Nondozz ni Raha ,hasa ukiwa na changamoto za maisha. |
Wageni waalikwa....wakisikiliza kwa umakini...!!! |
Picha ya pamoja na wakurugenzi na wakufunzi wa chuo cha Uandishi wa Habari Arusha. |
Wageni waalikwa na mdogo wangu Mary P. Mollel ambae tulipata wote Nondozz |
Post a Comment