Katibu Mkuu mpya wa CCM,
Abdulrahman Kinana, akimsalimia Nyakia Ali wa Idara ya Siasa na Uhusiano wa
Kimataifa (SUKI), alipokaribishwa na Wafanyakazi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu
ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, baada ya kuwasili kwa ajili ya kuripoti
kwa mara ya kwanza tangu kuteuliwa kwake, juzi mjini Dodoma.
Kinana akisaini kitabu, baada ya kuingiza Ofisi yake ya Ukatibu Mkuu wa CCM, Ofisi Ndogo ya Mako Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
Kinana akiwa na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye Ofisini kwake leo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

Post a Comment