Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MAMBO YANAZIDI KUNOGA NDANI YA EBSS 2012, WASHIRIKI WALIOBAKIA NI SALMA NA WALTER AMBAPO MMOJA WAO ATAIBUKA NA KITITA CHA TSH. MILIONI 50


Washiriki wa Washindano la EBSS 2012 ambao wamefanikiwa kuingia fainali ya shindano hilo wakiwa jukwaani usiku huu wakati wa kuanza kwa fainali hizo. Ni ndani ya Ukumbi wa Diamond Jijini Dar es Salaam. Mshindi kuondoka na kitita cha Shilingi Milioni 50 za kitanzania.

Kama kawaida nao hutoa burudani ....Chief Jaji na mratibu wa Shindano la Epiq Bongo Star Search (EBSS), Mkurugenzi wa kampuni ya Benchmark Productions Limited, Ritha Poulsen a.k.a Madam Ritha, akifurahia jambo wakati washiriki wakitumbuiza jukwaani. Kulia ni Jaji mwingine Master Jay akionekana kama kukera na kicheko cha Madam Ritha.
Mashabiki na wapenzi wa shindano la Epiq Bongo Star Search (EBSS) waliofurika katika ukumbi wa Diamond Jubelee wakilipuka kwa shangwe baada ya mmoja wa washiriki ambao wanamkubali kumaliza kufanya show yake.
MC’s wa Show hii ya leo ni kijana mtanashati Caesar Daniel na mwana dada mrembo Vanessa Mdee ndio wanasongesha show nzima ya leo.
Walter na Salma ndio washiriki wa kipekee waliobakia kwenye mzunguko wakishindania Tsh. Milioni 50.
Salma Yusuph akiwajibika jukwaani
Walter Chilambo, kipenzi cha akina Dada akiwa na tabasamu tele baada ya kubaki mshiriki wa kipekee wa kiume na ataweza kuibuka na kitita na Tsh. Millioni 50
 
Washiriki waliotoka usiku huu na kuachia kitita chaa Shilingi Milioni 50, kikiwaniwa na Walter na Salama ni pamoja na Nsami Nkwabi, Nshoma Ng’hangasamala Wababa Mtuka.
Shindano la EBSS linafikia tamati yake usku huu katika ukumbi wa Diamond Jublee linapoendea kufanyika.
 
 
 
 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top