Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Gharib Bilal na Mkewe mama Aisha
Bilal wakishuka kwebye ndege mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa
Mpanda mkoani Katavi kwa ajili ya uzinduzi wa mkoa mpya wa Katavi unaofanyika
mjini mpanda kesho, Makamu wa Rais pia amezinddua uwanja wa ndege wa Mpanda na
kuzindua Kongamano la Tathimini ya Mkutano wa Uwekezaji Ukanda wa Ziwa
Tanganyika uliofanyika Oktoba 17 mwaka jana na kushirikisha mikoa mitatu ya
Rukwa, Kigoma a kufanyika mjini mpanda ambapo sasyamekuwa makao makuu ya Mkoa wa
Katavi
Makamu
wa Rais Dkt. Gharib Bilal akisalimiana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda mara baada
ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda, kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Katavi
Dkt. Rajab Rutengwe na katikati ni mama Tunu Pinda.
Makamu wa Rais Dkt. Gharib Bilal kushoto
akijadiliana jambo na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakati wa Kongamano la
kutathmini Mafanikio na Changamoto baada ya mkutano wa Uwekezaji wa Ukanda wa
Ziwa Tanganyika Kigoma na Rukwa uliofanyika Oktoba 17 mwaka jana mjini
Mpanda
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akizungumza katika uzinduzi wa Uwanja wa ndege wa Mpanda,
kshoto ni Makamu wa Rais Dkt. Gharib Bilal na kulia ni mama Zakia
Bilal.
Makamu
wa Rais Dkt. Gharib Bilal akizungumza wakati wa uzinduzi wa uwanja wa ndege wa
Mpanda mkoani Katavi leo mchana.
Katibu
Mkuu Wizara ya Uchukuzi Mhandisi Omar Chambo akitoa taarifa ya ujenzi wa uwanja
huo kwa Makamu wa Rais Dkt. Gharib Bilal wakati wa uzinduzi mjini mpanda
leo.
Naibu
Waziri wa Uchukuzi Dkt. Charles Tizeba akimkaribisha Makamu wa Rais ili kuongea
na wananchi wakati wa uzinduzi wa uwanja huo mjini Mpanda
leo
Makamu wa Rais Dkt. Gharib Bilal akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa
uwanja wa ndege wa Mpanda baada ya kukamilika kwa ujenzi wa uwanja huo, kulia ni
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Mizengo Pinda na Naibu Waziri
wa Uchukuzi Dkt. Charles Tizeba, kushoto ni Mama Zakia Bilal mke wa Makamu wa
Rais.
Kutoka kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole Medeye, Dkt. Mary Nagu Waziri wa Uwekezaji na
Uwezeshaji Ofisi ya Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda Mke wa Waziri Mkuu na Mama
Zakia Gharib Bilal Mke wa Makamu wa Rais wakiwa katika uzinduzi huo
Makamu
wa Rais akisalimiana na Mary Nagu Waziri wa Uwekezaji na Uwekezaji mara baada ya
kuwasili mjini Mpanda leo Katikati ni Mwenyekiti wa CCM Katavi Mselem na kutoka
kulia ni Mbunge wa Mpanda mjini CHADEMA Mh.Said Arfi na Naibu Waziri wa Uchukuzi
Dkt Charles Tizeba.
Makamu
wa Rais Dkt Gharib Bilal akivishwa skafu na vijana wa chipukizi mjini Mpanda
mara baada ya kuwasili mkoani Katavi leo.
Makamu
wa Rais akisalimiana akipungia mkono wananchi waliofika kumlaki kwenye uwanja wa
ndege wa Mpanda mkoani Katavi leo, kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Katavi Dkt Rajab
Rutengwe na kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa Bw. Mselem.
Makamu wa Rais Dkt Gharib Bilal na Mkewe Mama Zakia
Bilal wakiangalia ngoma katika uwanja wa ndege wa Mpanda
Mama
Tunu Pinda akishiki kuchza ngoma za asili za mkoa wa Katavi kwenye uwanja wa
ndege wa Mpanda wakati wa mapokezi ya Makamu wa Rais Dkt. Gharib
Bilal.
Makamu wa Rais Dkt. Gharib Bilal akisalimiana na
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba Bw. Nehemia Kyando Mchechu
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akifurahia jambo na
Mzee Paul Kimiti Waziri Mkuu wa Zamani na Mbunge wa jimbo la Sumbawanga miaka
iliyopita kwenye uwanja wa ndege wa Mapanda
Makamu wa Rais Dkt. Gharib Bilal akisalimiana na
Mkuu wa Wilaya ya Kibondo Mh. Venance Mwamoto wakati wa mapokezi hayo, kulia ni
Mkuu wa Mkoa wa Katavi Dkt Rajab Rutengwe.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimpa ishara ya Dole
Mbunge wa Mpanda mjini CHADEMA Mh. Said Arfi, wakati wa mazungumzo yao kwenye
uwanja wa ndege wa Mpanda katika mapokezi ya Makamu Wa Rais Dkt. Gharib Bilal,
Kauli mbiu ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi Dkt Rajab Rutegwe katika maendeleo mkoani
Katavi inasema "SIASA NI MAENDELEO"
kutoka kulia ni
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Injini Stella Manyanya, Mkuu wa mkoa wa Katavi Dkt. Rajab
Rutengwe, Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Issa Machibya na mwenyekiti wa CCM
Mpanda Hamida Mbogo wakizungumza mawili matatu wakati wa mapokezi ya makamu wa
Rais mjini Mpanda leo,
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na Mzee
Chrisant Mzindakaya ambaye ni mwekezaji mkoani Rukwa na wwekezaji wengine kutoka
India, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi Dkt. Rajab
Rutengwe.
Mkuu
wa Mkoa wa Katavi Dkt. Rajab Rutengwe akizungumza katika kongamano hilo kwenye
ukumbi wa Idara ya maji mjini Mpanda na kukaribisha wageni mbalimbali
waliohudhuria kongamano hilo.
Mkuu
wa mkoa wa Rukwa Injini Stella Manyanya akizungumza na kutoa taarifa ya mkoa
wake katika suala zima la uwekezaji mkoani Kwake
Waziri wa Uwezeshaji na Uwekezaji Ofisi ya Waziri
Mkuu Dkt. Mary Nagu akizungumza katika kongamano hilo lililofanyika mjini Mpanda
leo
Mabalozi mbalimbali wamehudhuria katika sherehe hizo
za uzinduzi wa mkoa wa Katavi kutoka Burundi, Zambia, Misri, Japan na DRC
Kongo
Waziri katikati Charles Tizeba akiwa na viongozi
mbalimbali wa Vyama, Serikali na Taaisisikadhaa wamehudhuria katika konamano
hilo
Mkuu
wa mkoa wa Kigoma Kanali Issa Machibya akizungumza na kutoa taarifa ya mkoa wake
katika suala zima la uwekezaji koani Kwake.PICHA NA
FULLSHANGWEBLOG.COM.
Post a Comment