PICHA
NA IKULU
Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha kwanza cha Halmashauri
Kuuta Taifa ya CCM (NEC) kwenye ukumbi wa White House mjini Dodoma
leo.
Mwenyekiti wa CCM Rais Dk.
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali
Mohamed Shein (kushoto) pamoja na Makamu Mwenyekiti mpya wa CCM Bara, Philip Japhet
Mangula (kulia) ikulu ndogo mjini Dodoma. Picha zote na
Freddy Maro
Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. Jakaya
Mrisho Kikwete (wapili kushoto) akizungumza na Makamu wa pili wa Rais Zanzibar
Balozi Sefu Iddi,Makamu mpya wa CCM Bara Bwana Philip Mangula(watatu kushoto)
pamoja na makamu wa CCM Bara aliyemaliza muda wake Bwana Pius
Msekwa.
Mwenyekiti wa CCM Dkt. Jakaya
Mrisho Kikwete akifurahia jambo pamoja na Makamu mweyekiti mpya wa CCM Bara,
Philip Mangula (Katikati) pamoja na Makamu Mwenyekiti Bara aliyemaliza muda wake
Bwana Pius Msekwa ikulu ndogo mjini Dodoma
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais
Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Katibu Mkuu wa CCM aliyemaliza
muda wake Dk.Wilson Mukama ikulu ndogo mjini Dodoma leo asubuhi. Dk.Mukama
ameteuliwa kuwa Mkuu wa Chuo cha Uongozi cha CCM.
Mwenyekiti wa CCM Dk. Jakaya
Mrisho Kikwete akiwa na Naibu Katibu
Mkuu mpya wa CCM, Mwigulu Nchemba ikulu ndogo mjini Dodoma leo
asubuhi.
Mwenyekiti wa CCM Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana
na Katibu mpya wa oganaizesheni ya CCM Bwana
Mohamed Seif Khatib mjini Dodoma
Post a Comment