
.
Mshindi wa Big Brother 2012 Keagan wa South Africa alipata ajali novemba 24 2012 asubuhi na kuvunjika sehemu tatu, hali yake imeripotiwa kuendelea vizuri ambapo amesema chanzo cha ajali kilikua ni gari jingine ambalo lilimfata kwenye njia yake.
on Monday, November 26, 2012
Post a Comment