Rais Jakaya Mrisho Kikwete
na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Uganda na Burundi Bw.
Philippe Dongier wakiweka jiwe la msingi kwa ajili ya kuanza kwa ujenzi wa
barabara ya Arusha Minjingu maeneo ya kijiji cha Mguu-wa-Zuberi wilayani
Monduli, Mkoani Arusha.
Rais Kikwete akisalimiana
na baadhi ya wanahabari wa mkoa wa Arusha baada ya kuweka jiwe la msingi kwa
ajili ya kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Arusha Minjingu maene ya kijiji cha
Mguu-wa-Zuberi wilayani Monduli, Mkoani Arusha.
Rais Kikwete akisalimiana
na baadhi ya wananchi wa mkoa wa Arusha baada ya kuweka jiwe la msingi kwa
ajili ya kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Arusha Minjingu maene ya kijiji cha
Mguu-wa-Zuberi wilayani Monduli, Mkoani Arusha.
Mkurugenzi wa Benki ya
Dunia kwa nchi za Tanzania, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier akipanda mti
kama kumbukumbu baada ya Rais Kikwete kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya
kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Arusha Minjingu maene ya kijiji cha
Mguu-wa-Zuberi wilayani Monduli, Mkoani Arusha.
Sehemu ya barabara ya
Minjingu-Babati-Singida iliyozinduliwa na Rais Kikwete
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Tonia Kandiero wakifurahia
baada ya kuzindua barabara ya Minjingu-Babati-Singida nje kidogo ya mji wa
Babati Mkoa wa Manyara. Anayeshuhudia kushoto ni Waziri wa Ujenzi Dkt John
Pombe Magufuli na kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwezeshaji) Dkt
Mary Nagu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Tonia Kandiero na viongozi
wengine wakikata utepe kuzindua barabara ya Minjingu-Babati-Singida nje kidogo
ya mji wa Babati Mkoa wa Manyara. Anayeshuhudia kushoto ni Waziri wa Ujenzi Dkt
John Pombe Magufuli na kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
(Uwezeshaji) Dkt Mary Nagu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa na Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) Mhe Rose Kamili baada ya kuzindua mradi
mkubwa wa maji wa Mwakonko Singida Mjini.PICHA NA IKULU
Post a Comment