The R&B Diva Rihanna alionesha mashabiki wake kibao waliohudhuria
777 tour huko London kuwa ubora wa kazi kwa
ajili ya mashabiki wake ni kitu kikubwa sana na sio bora
liende.
RiRi alishindwa kuendelea kuimba hit
song ‘where have you been’ kwa sababu alisikia ubovu katika sound iliyokuwa
inatoka kwenye vyombo vya band yake aliyoikodi na sauti yake kama ilikuwa
imezidi mwangi, aliigeukia band hiyo akaiambia istop halafu akainyeshea
mbovu.
“Alright, what
the f**k. Stop this sh*t. What the f**k is that? Why is the track off from the
band? This is the bullsh*t we deal with when we are just doing a random rock and
roll tour with no rehearsal and sh*t."
Baadae akawageukia fans wake na
kuwaomba radhi kwa kile kilichotokea na kuwaambia wanaanza upya track hiyo,
“I apologize for everyone [live streaming] at home
...We are going to start this one again from the top.” Baada ya hapo
ubora wa sound ulikuwa poa na akapiga show kali hadi mwisho.
Hii ilikuwa siku ya sita ya tour ya
Rihanna ‘777’ ambayo ilikuwa London, kabla ya show waandishi wa habari
waliambatana nae kwenye private jet yake walifanya vituko wakiwa katika vyumba
vyao kwa sababu walikuwa disappointed baada ya kuona dalili za kutopata habari
za ku-make headline toka kwa RiRi. Inasemekana kuwa mara nyingi Rihanna alikuwa
amejificha kwenye chumba maalum ndani ya jet hiyo na alikataa kukutana na
waandishi hao wa habari.
Post a Comment